UNGANA NA
LINK CLASSIC
KILA SIKU KWA HABARI MPYA
Dhana ya mtu kuwa na ulemavu katika maisha ndiyo kigezo cha kumfanya ashindwe kushughulika na jambo lolote sio sahihi kabisa, kama ambavyo imekuwa ikithibitishwa na watu wenye changamoto za ulemavu wa viungo kwa kufanya mambo makubwa na kuendelea kufurahia wanachokifanya.
Ukiacha changamoto ambazo zinawakabili watu hao, lakini bado wemeendelea kuwa mifano kwa watu wengine kama ilivyo kila binadamu ana historia yake ambayo inaweza kumvutia mtu na kumfanya ajifunze mambo mengi ambayo anaweza kuyatumia kama fursa katika maisha ya kila siku.
Asante sana kwa kutembelea Website hii Mungu akubariki sana
+255 (0) 652989873 – Whatsapp / Call
Karibuni sana
LINK CLASSIC
LIKE PAGE ZETU
"KWA
HABARI ZAIDI "
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: