sponsor

Slider

T - SHIRT PRINTING


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

UNGANA NA 
LINK CLASSIC
KATIKA KIPENGELE CHA 
HOT NEWZ

Rais Dk. Magufuli pamoja na Rais Museveni wa Uganda wamezungumzia kuharakishwa kwa ujenzi wa Bomba la Mafuta kuanza mara moja kujengwa kuanzia mkoani Tanga hadi nchini Uganda ili kuanza kazi baada ya miaka miwili ijayo .

Mazungumzo hayo yalikuwa mara baada ya Rais Museveni kuapishwa ambapo awali, akiongea na maelfu ya watu waliohudhuria sherehe za kuapishwa kwa muhula wa tano, Rais Museveni, amesema katika kuonyesha haijali Mahakama ya ICC aliamua kumualika Rais wa Sudan Omar Al-Bashir licha ya kuwepo kwa hati ya ICC ya kutaka akamatwe.

Sherehe hizo za kuapishwa Rais Museveni, zimehudhuriwa na Marais Jacob Zuma wa Afrika Kusini, Robert Mugabe wa Zimbabwe, Idriss Deby wa Chad, Edgar Lungu wa Zambia, Dk. John Magufuli wa Tanzania, Mohamadou Issoufou wa Niger na Teodoro Obiang Nguema Mbasogo wa Equatorial Guinea.

LINK CLASSIC: Asante sana kwa kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea website hii
Pia waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini

+255 (0) 652989873 whatsapp

TWITTER    
LINKEDIN     DRIBBBLE

Karibu sana
LINK CLASSIC

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply