sponsor

Slider

T - SHIRT PRINTING


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » LIPUMBA – ZOEZI LA KUKAMATA WANAOFICHA SUKARI LISITISHWE

UNGANA NA 
LINK CLASSIC
KATIKA KIPENGELE CHA
HOT NEWZ

Sakata la Sukari pamoja na operesheni zinazoendelea za kuwakamata wanaoficha sukari limemuibua aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba na kutaka zoezi hilo lisitishwe.

Akizungumza na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya chama hicho Profesa Lipumba amesema kamata kamata hiyo imesababisha wafanyabiashara kuwa na hofu kwa madai kuwa wanashindwa kuagiza au kuhifadhi sukari jambo linalosababisha kupanda kwa bei maradufu mitaani .

Aidha Prof.Lipumba amemtaka Rais Dk. John Magufuli kushirikiana na wataalamu wa uchumi pamoja na waagizaji wa sukari ili kuangalia uwezekano kwa uagizwaji sukari kwa mfumo wa wazi ili kupunguza mianya ya rushwa au njia  za panya.


LINK CLASSIC: Asante sana kwa kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea website hii
Pia waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini

+255 (0) 652989873 whatsapp

TWITTER    
LINKEDIN     DRIBBBLE

Karibu sana
LINK CLASSIC

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply