UNGANA NA
LINK CLASSIC
KATIKA KIPENGELE CHA
HOT NEWZ
Kesi namba 3/2015 ya kupinga Matokeo ya Uchaguzi ya Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Jijini Dar es Salaam Maulidi Mtulia (CUF) iliyofunguliwa na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Iddi Azan (CCM) imeshindwa kutolewa maamuzi hii leo katika Mahakama Kuu ya Tanzania hadi kesho saa tatu asubuhi.
Hatua ya kuahirishwa kwa kesi hiyo imefuata baada ya Wakili wa upande wa Iddy Azzan kuiomba mahakama impe muda ili akafuatilie fomu no 21B katika Kata ya Kinondoni kwa kile alichodai kuwa fomu hiyo aliyoitumia kuandikia shitaka imechakaa hivyo maandishi hayaonekani vizuri.
Kwa upande wa Juma Nassoro ambaye ni Wakili wa mshitakiwa Maulidi Mtulia ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kinondoni ameiambia LINK CLASSIC kuwa hapingi kuhairishwa kwa kesi hiyo lakini alimshauri Jaji kuwa jambo hilo ni nje ya kesi ( Presiding) hivyo alipaswa aliangalie kwa umakini.
LINK CLASSIC: Asante sana kwa
kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia
endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya
Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea
website hii
Pia
waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini
+255
(0) 652989873 whatsapp
Karibu sana
LINK CLASSIC
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA


No comments: