sponsor

Slider

EMBROIDERY, DTF, & SCREEN PRINTING - T-shirt, Overall, Shirt , Pylon, Kofia Nk..


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » TABIA 8 ZA WATU WAPOLE HEBU ZISOME HAPA NIMEKUSOGEZEA MDAU WANGU

Tunaishi kwenye dunia ambayo binadamu wanatofautiana kifikra, kitabia na kwenye vitu vingine sasa leo December 15 mtaalamu wa saikolojia kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam Chris Mauki ametoa hizi tabia nane za watu wa pole, zitazame uone kama zinakugusa au kumgusa yeyote unaemfahamu.

1. Wanafikiri sana kabla ya kutenda, sio wakurupukaji

2. Ni rahisi kuwaamini
3. Wako tayari kutoa msaada.
4. Ni wazuri kuwa nao kama marafiki
5. Ni wasikilizaji wazuri
6. Wanazielewa hisia za wengine
7. Wanaweza kudumisha mahusiano yao na wengine na ni rahisi kukaa kwenye uhusiano kwa muda mrefu
8. Ni wagunduzi.


LINK CLASSIC: Asante sana kwa kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea website hii
Pia waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini




TWITTER    

LINKEDIN     DRIBBBLE

KWA HABARI ZAIDI 

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply