“Ni ujinga kutegemea pesa kama chombo cha maendeleo wakati tunafahamu vyema kwamba nchi yetu ni masikini, Lakini Ni ujinga zaidi kufikiria kwamba tutajikomboa kutoka kwenye umasikini wetu kwa kutegemea misaada ya kigeni badala ya juhudi zetu wenyewe”
Maneno hayo yamo katika azimio la Arusha (Februari 5 1967) lililoandikwa na baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa ajili ya TANU mwaka 1967.
Katika miaka ya karibuni malalamiko yamekua mengi nchini kwamba nchi inakwenda ovyo kwa sababu ya kutelekeza mambo ya kimsingi yaliyomo katika azimio hilo mwalimu alifariki dunia Oktoba 14 1999.
LINK CLASSIC: Asante sana kwa
kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia
endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya
Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea
website hii
Pia
waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini
Karibu sana
LINK CLASSIC
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: