sponsor

Slider

T - SHIRT PRINTING


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » DALILI 9 ZA RAFIKI, MPENZI AU MCHUMBA ALIYEKUCHOKA.

  • Anapunguza mawasiliano siku hadi siku. Ni tofauti ukilinganisha ukaribu wa mawasiliano katika kipindi cha awali, mwanzoni alikua moto kwa kipindi hiki utamuona amepoa kama barafu.


  • Hataki ama anakwepa kuonana na wewe mara kwa mara ukilinganisha na zamani. (ubize ambao zamani hakuwa nao)
  • Mkiwa wote hachangamki kama zamani.
  • Atakutafuta akiwa na shida ya pesa ama kitu flani.
  • Hujibu kwa ukali mnapojadili jambo na huwa hapendi kurudia jibu lake.
  • Huwa hajiamini. Hasa sms inapoingia au simu ikipigwa mkiwa wote lazima apepese macho na kukosa amani, kwani simu yake imejaa majanga.
  • Hataki umuulizie M\maswali mengi juu ya jambo fulani.
  • Neno tuachane huwa jirani mdomoni mwake.
  • Anaanza kukuweka mbali na rafiki ama ndugu zake.

                                 KWA HABARI ZAIDI

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply