Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelline Mabula (Mb), akisisitiza jambo kwa ujumbe kutoka Benki ya Dunia walipofika ofisini kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (Mb) kufanya mazungumzo mbalimbali katika Sekta ya ardhi.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Willium Lukuvi (Mb), na Naibu wake kushoto kwake; Angelline Mabula (Mb), wakiwa na ujumbe kutoka Benki ya Dunia walipofika Wizarani hapo kufanya mazungumzo mbalimbali katika Sekta ya ardhi.
LINK
CLASSIC: Asante sana kwa kutembelea Website hii coz ni moja
ya Support kwetu mungu akubariki sana pia endelea kusoma na kufungua LEBAL
zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya Website hii bila kusahau
kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea website hii
Pia waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini
Karibu sana
LINK CLASSIC
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA




No comments: