sponsor

Slider

EMBROIDERY, DTF, & SCREEN PRINTING - T-shirt, Overall, Shirt , Pylon, Kofia Nk..


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » CCM KUANDAA UTARAIBU WA KUWAPOKEA WALIOHAMIA UPINZANI


Siku kadhaa baada ya mwanachama wa siku nyingi wa Chama cha Mapinduzi,balozi JUMA MWAPACHU, kurejea katika chama hicho baada ya kukihama wakati wa harakati za Uchaguzi mkuu wa mwaka jana,Chama hicho kimekiri kuwa kuna haja ya kusikiliza hisia za wanachama wake na kuangalia upya namna gani wanachama wa Chama hicho walioondoka na kwenda kujiunga na vyama vingine wanapokelewa kufutia mazingira ya siasa yalivyo sasa.

Katibu Mkuu wa CCM ABDULRAHMAN KINANA, ametoa kauli hiyo jijini Dar Es Salaam,wakati wa mkutano na waandishi wa habari, uliolenga kumtambulisha Mjumbe wa Halmashauri kuu Ya Taifa ya Chama hicho CHRISTOPHER OLE SENDEKA, kuwa msemaji wake, kuchukua nafasi ya Nape Nauye, ambaye sasa ni waziri wa habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Bwana Kinana, amekiri kuwa ni vyema sasa CCM ikae na kutengeneza namna ya watu fulani kurudi ama kutorudi kabisa katika chama hicho kwa kuwa kwa sasa utaratibu unatambua mchakato kumrejesha mwanachama bila kuangalia alitoka kwa mtindo upi.

Katibu Mkuu huyo wa CCM, ameenda mbali zaidi na kusema kuwa lazima chama hicho kiheshimu hisia za wanachama wake.

Akizungumza baada ya kutambulishwa, Ole Sendeka amesema CCM kinampongeza Rais John Magufuli kwa utendaji wake na kwamba huo ndio msimamo wa Chama na kukanusha maeneo yanayoelezwa kwamba huo ni udikteta na uone


LINK CLASSIC: Asante sana kwa kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea website hii
Pia waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini

INSTAGRAM           FACEBOOK    GOOGLE+    

PINTEREST   TWITTER    LINKEDIN     DRIBBBLE

Karibu sana


LINK CLASSIC

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply