Watuhumiwa wa mabehewa ya Mizigo TRL wakiwa nje ya Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam tayari kwenda kusomewa mashtaka yanayoyabili watuhumiwa, hao kumi na moja walitenda kosa la matumizi mabaya ya madaraka na nyaraka, ikihusiana na manunuzi ya behewa ya kokoto (wapili kulia nyuma) Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Reli nchini(TRL),Mhandisi Kapallo Kisamfu.
Watuhumiwa 11 wa mabehewa ya Mizigo TRL wakiwa ndani ya mahakama Kisutu wakisubiri kusomewa mashtaka yao ambapo wanatuhumiwa kwa kosa la matumizi mabaya ya madaraka na nyaraka, ikihusiana na manunuzi ya behewa ya kokoto (wapili kulia nyuma) Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Reli nchini(TRL),Mhandisi Kapallo Kisamfu.
PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON-FULLSHANGWEBLOG
Asante sana kwa kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea website hii au waweza inbox namba yako ukawa unapata habari kupitia simu yako bureeeeeeeeee............
Pia waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini
Whatsapp / Call - 0652 989 873
Karibu sana
LINK CLASSIC
WE: Complete Classic Services
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: