Habari zilizoenea kwa kiasi kikubwa kwa watumiaji wa barabara ya Mandela jijini Dar Es Salaam ni kuhusiana na ajali iliyotokea ya kontena kuangukia basi dogo la abiria maarufu kama daladala na gari ndogo. Ajali hiyo kwa taarifa za awali inatajwa kutokea maeneo yaTabata. millardayo.com inafuatilia kwa kina taarifa kamili ili kukuletea habari za uhakika zaidi ila hizi ni picha za mwanzo kuhusu ajali hiyo
Asante sana kwa kutembelea
Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia endelea
kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya Website
hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea website
hii
Pia waweza kuwasilina nasi
au kutufollow hapa chini
Karibu sana
LINK CLASSIC
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: