LINK CLASSIC akiwa na waumini ya kanisa la HOPE FOR ALL NATIONS MINISTRY kiukweli ni waumini wakarimu sana pia alifurahi sana kukutana na muuimbaji wa injili TUMPE MWASUBILA ilikuwa raha sana ibada ilipendeza sana coz hata ukiwaangalia hapa wajawa na nyuso za tabasamu baada ya kutoka kanisani
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: