Mwaka 2015 ni umekuwa ni mwaka wa mafanikio kwa klabu ya FC Barcelona yaHispania kwani imefanikiwa kutwaa mataji matano, FC Barcelona ambayo inatajwa kuwa ni timu namba moja kwa ubora duniani, kwa mwaka 2015 imefanikiwa kutwaa mataji ya Copa del Rey, European Super Cup, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na Klabu Bingwa Dunia, wachezaji wake sita wametajwa katika Top 10 ya wachezaji bora wa mwaka 2015 wa gazeti la Hispania la Marca, nyota anayetajwa kuanguka katika viwango hivi ni Cristiano Ronaldo ambaye ameshika nafasi ya 8 kwa ubora kwa mwaka 2015.
Hii ndio list kamili mtu wangu FC Brcelona wameingiza wachezaji jumla ya wachezaji sita katika list hii
10. Paul Pogba (Juventus)
9. Antoine Griezmann (Atletico Madrid)
8. Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
7. Claudio Bravo (Barcelona)
6. Sergio Busquets (Barcelona)
5. Robert Lewandowski (Bayern Munich)
4. Anders Iniesta (Barcelona)
3. Luis Suarez (Barcelona)
2. Neymar (Barcelona)
1. Leo Messi (Barcelona)
9. Antoine Griezmann (Atletico Madrid)
8. Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
7. Claudio Bravo (Barcelona)
6. Sergio Busquets (Barcelona)
5. Robert Lewandowski (Bayern Munich)
4. Anders Iniesta (Barcelona)
3. Luis Suarez (Barcelona)
2. Neymar (Barcelona)
1. Leo Messi (Barcelona)
KARIBU LINK CLASSIC
Deal With
STATIONERY SERVICE
Graphix Design, All Printing & Card Design
ENTERTAINMENT
Dancers, Sarakasi, Fashion, Video shooting e.t.c
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: