sponsor

Slider

T - SHIRT PRINTING


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » WEMA SEPETU AMJIBU HARMORAPA BAADA YA KUMTAMANI KIMAPENZI

UNGANA NA

LINK CLASSIC

KILA SIKU KWA HABARI

Siku kadhaa zimepita tangu msanii Harmorapa kuzungumza kuwa muigizaji staa wa Bongo Movies Wema Sepetu ni kati warembo wanaomvutia na kutamani kuwa nao kimapenzi, leo Wema Sepetu kupitia ukurasa wake wa Instagram amemjibu Harmorapa kwa kuyaandika haya…
Sijawahi kumchukia yeyote anayehangaika kutafuta riziki yake kwa kuwa nami pia natafuta. Ila mdogo wangu Harmorappa u are getting too much. Pigana na namna utakavyo kupeleka muziki na jina lako juu but get me out of this.
Nakuheshimu kama msanii mwenzangu lakini hili la kunadi kunitaka kimapenzi na kuonyesha utayari wa kufanya mambo kadha wa kadhaa kwangu please waambie wengine unaodhani mnawezana ila mimi sio wa aina hiyo.
Usiiharibu image yangu niliyoipigania muda wote, usiniharibie heshima yangu ninayoijenga sasa ktk chama changu CHADEMA, usiniharibie kwenye familia yangu, marafiki zangu na usiniharibie kwa niliye nae.
Ni utoto na ujinga kuposti kila uchao picha za wanawake eti wanakutaka au unatoka nao DO U THINK NAMI NI WA AINA HIYO? Usidharaulishe. Nadhani kuna busara ya wewe to look for another one but AM NOT FOR U and i hope utanipa heshima yangu kama dadaako, msanii mwenzako LETS STOP THERE

Asante sana kwa kutembelea Website hii Mungu akubariki sana


Karibuni sana
LINK CLASSIC

LIKE PAGE ZETU 



"KWA HABARI ZAIDI

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply