UNGANA NA
LINK CLASSIC
KILA SIKU KWA HABARI MPYA
Waislamu wote Duniani wameingia mwezi mtukufu wa Ramadhani mwezi mosi, mwezi huu ni mwezi wa toba hususani kwa waumimi wa dini hiyo. Kila kitu kina sheria na taratibu zake.
MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI
Mwezi huu unasheria zake ingawa binadamu anatakiwa akae na kuishi katika misingi na utaratibu ambayo Mwenyezi Mungu ameupanga na kuufundisha kwa mitume yake mbalimbali aliyoileta kwa ajili ya kufikisha ujumbe juu ya ukubwa wake.
Mwezi huu unafadhila kubwa kwa Imani ya Dini ya Kiislam una fadhila ambayo kila aliyekuwa katika imani hiyo anatamani afike ndani ya mwezi huo wenye mafungu 3, yaani kumi la kwanza, kumi la pili, kumi la tatu na la mwisho, nyuma ya ramadan kuna swala ya sunna ya taraweeh ambayo imeambatana na fadhila kadha wa kadha tutaziangazia siku za usoni
VITU GANI INATAKIWA UFUNGE?
Funga hulipwa moja kwa moja na Mungu kwa imani ya kiislam, lakini katika kufunga inatakiwa ufunge vyote. Waislam wengi hudhania Kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani ni kufunga kula peke yake, kumbe sio tu kula na kunywa bali kuna vingine inatakiwa ufunge viende sambamba.
1.ULIMI
uache kuongea maneno yasiyofaa mfano kusengenya,kutukana na hata koropoka.
2.KUANGALIA VISIVYO FAA
Macho moja ya vitu vinavyoharibu saumu za watu uyachunge macho yako ili uhifadhike kwa kuangalia vitu ambavyo havita kuingiza kwenye matamanio au kumua Mwenyezi Mungu.
3.KULA NA KUNYWA
Pia hili la kula na kunywa haitakiwi ule hadi muda ambao umepangwa kutokana na mabadiliko ya muda haswa kuanzia saa kumi na mbili na nusu jioni kuacha halikadhalika kuacha yote yaliyo katazwa.
Asante sana kwa kutembelea Website hii Mungu akubariki sana
+255 (0) 652989873 – Whatsapp / Call
Karibuni sana
LINK CLASSIC
LIKE PAGE ZETU
"KWA
HABARI ZAIDI "
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: