UNGANA NA
LINK CLASSIC
KILA SIKU KWA HABARI MPYA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Afrika ya Kusini katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Thamsanga Dennis Msekelu leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Afrika ya Kusini katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Thamsanga Dennis Msekelu leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi wa Afrika ya Kusini katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Thamsanga Dennis Msekelu baada ya mazunguzo yao leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.
[Picha na Ikulu.]
Asante sana kwa kutembelea Website hii Mungu akubariki sana
+255 (0) 652989873 – Whatsapp / Call
Karibuni sana
LINK CLASSIC
LIKE PAGE ZETU
"KWA
HABARI ZAIDI "
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: