sponsor

Slider

T - SHIRT PRINTING


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » JE ELIMU IMEWAFIKIA WANANCHI KUHUSU MRADI WA MABASI YAENDAYO KASI?

UNGANA NA 
LINK CLASSIC
KATIKA KIPENGELE CHA 
HOT NEWZ

Ikiwa ni siku ya nne tangu mabasi yaendayo haraka yaanze kutoa huduma bure jijini Dar es Salaam wananchi wameonekana kupata uelewa juu huduma hiyo ikiwemo namna ya kuingia katika vituo vya kusubiria usafiri huo pamoja na matumizi ya kadi na risiti mahali zinapo patikana.

Akitoa elimu kwa wananchi Salim Chuma amesema kadi hiyo itatumiwa na mwenye kadi tu na si mtu mwingine hivyo ametoa onyo kwa mtu yoyote kuiba ama kutumia kadi isiyokuwa yake kuwa ataibainika na mashine zinazotambua kadi hizo wakati wa kuingia na kutoka katika kituo ambapo ina milio mitatu ikiwemo mlio unaonyesha salio, hamna salio na kadi sio yako.

Abiria wanaotumia usafiri huo wamesema kwa sasa wameanza kuelewa namna mabasi hayo yanavyofanya kazi ikiwemo baadhi ya mabasi kutosimama vituo vyote ingawa wameomba elimu zaidi iendelee kutolewa.

Mabasi yameguka kilio kwa makondakta wa daladala wanaotumia barabara ya morogoro ambao wanadai kuwa kwa sasa biashara imekuwa ngumu.

LINK CLASSIC: Asante sana kwa kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea website hii
Pia waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini

+255 (0) 652989873 whatsapp

TWITTER    
LINKEDIN     DRIBBBLE

Karibu sana
LINK CLASSIC

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply