Msichana Sarah Greenaway mwenye umri wa miaka 17 amekosa kidole chake baada ya kutumia gundi ya kugandishia kucha bandia.
Kidole cha dada huyo kilianza kubadilika kuwa bluu na baadae njano muda fulani baada ya kuweka gundi hiyo.Alikimbizwa hospitali na kufanyiwa upasuaji ambao ulimghalimu kidole chake huko kusini mwa Wales, Uingereza.
Jamani uangalifu kwenye utumizi wa vipodozi muhimu.
LINK CLASSIC: Asante sana kwa
kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia
endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya
Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea
website hii
Pia
waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini
Karibu sana
LINK CLASSIC
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: