Shirika la Afya Duniani (WHO) lilikusanya taarifa za sababu za
vifo mwaka 2012 na kuzifananisha na sababu kubwa za vifo
mwaka 2000.
Taarifa hiyo ilionesha magonjwa ya moyo yamekuwa ni sababu
kubwa ya vifo duniani kwani vimesababisha vifo vya watu milioni
7.4 mwaka 2012, huku magonjwa yasiyo ya kuambukiza kama vile
shambulio la moyo, saratani na kisukari yamesababishwa 68 % ya
vifo vyote duniani mwaka 2012, kutoka 60% mwaka 2000.
Ikilinganishwa na mwaka 2000, vifo vinavyotokana na HIV
vimepungua kidogo, kipindupindu sio tena miongoni mwa sababu
tano za juu zinazoongoza kwa vifo kwani imepungua kutoka vifo
milioni 2.2 mwaka 2000 hadi milioni 1.5 mwaka 2012 . Vifo
vinavyotokana na kifua vimepungua kutoka milioni 1.3 hadi
milioni 1, na kifua kikuu hakipo tena kwenye top ten ya sababu za
vifo.
Sababu 10 zinazoongoza kwa vifo duniani
Shambulio la moyo 13.2%
Kiharusi 11.9%
Pumu 5.6%
Maambukizi ya njia ya hewa 5.5%
Saratani ya mapafu na njia ya hewa 2.9%
Virusi vya Ukimwi 2.7%
Ugonjwa wa kisukari 2.7%
Ugonjwa kuhara (Kipindupindu) 2.7%
Ajali za barabarani 2.2%
Shinikizo la damu na magonjwa ya moyo 2%
LINK CLASSIC: Asante sana kwa kutembelea Website hii coz
ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia endelea kusoma na kufungua
LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya Website hii bila kusahau
kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea website hii
Pia
waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini
Karibu
sana
LINK CLASSIC
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: