Haya ni baadhi ya mambo ambayo ukiyapokea na kuyashika yatakusadia kuvutia wateja wengi zaidi kwenye biashara yako.
1. Lazima uwe mkarimu kwa wateja wako.
2. Uwe mwaminifu.
3. Jitolee kimamirifu kwenye biashara yako.
4. Ushawishi, uwe mtu mwenye njia, mbinu na maneno mazuri ambayo yatamfanya mteja kununua bidhaa hata kama hakuwa na mpango wa kununua bidhaa hiyo.
5. Kuwa Mchangamfu, Changamkia wateja wako na uwakaribishe kwa tabasamu na uso wenye furaha.
6. Uzoefu, Kabla haujanza ama kufungua biashara yoyote, hakikisha unakuwa na uzoefu wakutosha juu ya biashara hiyo.
Nimepata fursa ya kuweka njia 6 tu hapa juu, na wewe Comment hapo chini mbinu nyingine unazozifahamu. Asante.
#KwaPamojaTunaweza.
LINK CLASSIC: Asante sana kwa
kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia
endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya
Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea
website hii
Pia
waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini
+255
(0) 652989873 whatsapp
Karibu sana
LINK CLASSIC
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: