Katika maisha mawazo ni kitu cha kawaida kwa mwanadamu, lakini hata hivyo matumizi ya akili lazima yawekewe mipaka na isiwe ni kitu cha kawaida Ubongo kuruhusiwa kwenda mwendo mkali kulingana na uwezo wake.
Hebu chukua jukumu la kuutazama ulimwengu huu tulio nao na uangalie uozo wa wanadamu katika kujiheshimu, kisha ujiulize hivi kuna mwanaume au mwanamke ambaye anaishi bila kumsaliti mpenzi wake? Baada ya swali hilo wachukue rafiki zako unaokunywa nao pombe na kufanya kazi nao kazi uone kama hamjawahi kuoneshana nyumba ndogo, baadaye fumba macho uiulize akili yako kuna asiyesalitiwa?.
Wakati unasubiri majibu endelea kuweka viashiria kichwani mwako kwa kumfikiria mkeo anayemhudumia bosi chai huko ofisini au Muuguzi anayefanya inashangaza kusikia na kuona kuna baadhi ya wanandoa wanaishi kwa kupelelezana kila siku kama askari wakaguzi wa dawa za kulevya. Mke akichelewa kurudi lazima akaguliwe kwanza kama hakutoka kupasha mwili nje, kadhalika mwanaume apimwe kwa kunuswa kama hakuchepukia nyumba ndogo.
Hivi tulishawahi kujiuliza kuwa tunautumia ubongo wetu vibaya kutafuta ufumbuzi wa mambo ya kipuuzi!? Tunawafuatilia wake zetu maofisini kwao ili iweje? Hatuaminiani kwa nini wakati tumeoana, je mapenzi yana faida gani ndani ya usaliti na kujua kuwa sio wewe peke yako unayefaidi tunda la mkeo au mumeo.
Inashangaza kusikia na kuona kuna baadhi ya wanandoa wanaishi kwa kupelelezana kila siku kama askari wakaguzi wa dawa za kulevya. Mke akichelewa kurudi lazima akaguliwe kwanza kama hakutoka kupasha mwili nje, kadhalika mwanaume apimwe kwa kunuswa kama hakuchepukia nyumba ndogo.
LINK CLASSIC: Asante sana kwa
kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia
endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya
Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea
website hii
Pia
waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini
+255
(0) 652989873 whatsapp
Karibu sana
LINK CLASSIC
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: