1. Usimuumize moyo wake
2. Usi 'pretend' unampenda ili ufanikiwe kufanya yako.
3. Mtukane vyovyote vile ila sio wazazi wake na kumwambia kuwa
yeye ni mbaya.
4 Usimfananishe na wanawake zako waliopita.
5. Usimchukulie kirahisirahisi (Never take her love for granted)
6. Usimpige
7. Usimsaliti na kuonyesha kabisa dharau ajue kuwa una 'cheat'
8. Usimvunjie heshima kwa kumgombeza mbele za watu.
9. Usimpotezee muda wake kama hauna mpango wa kumuoa,
unamchelewesha kupata mume bora.
10. Usimfanye ajione hapendwi na ana mkosi hapa ulimwenguni,
huo ni ujuha.
11. Usimbake
12. Kamwe usisahau kumwambia unampenda na yeye ni mzuri
hiyo haipunguzi nguvu za kiume.
13. Usimpe mimba na kumkimbia au kumwambia aitoe, kama huna
nia ya kumuoa achana na hayo mambo, nadhani unajua kabisa
matokeo ya kufanya ngono.
Sometimes sisi wanaume ni pasua kichwa vilevile, unakuta
tunapata mwanamke anaekupenda kwa dhati, mwanamke ambae ni
potential, mwanamke ambae hakodoi macho pochi yako, ila
masikini ya Mungu anaishia kuumizwa na kulia kila siku na
kujilaumu kwanini alikupenda.
Wewe fanya hivyo ukidhani unamkomoa, ila siku na wewe
ukibananishwa na mwanamke mjasiriamwili utaisoma namba,
nakwambia utauza hadi boxer.
Baadae unakuja kulalamika hapa 'wanawake wanapenda pesa,
wanawake wanapenda pesa.' ukishikwa shikamana.
Na kama humpendi usimtongoze!

LINK CLASSIC: Asante sana kwa kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea website hii
Pia
waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini
+255
(0) 652989873 whatsapp
Karibu sana
LINK CLASSIC
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: