sponsor

Slider

T - SHIRT PRINTING


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » UCHAGUZI WA ZANZIBAR WAIPONZA TANZANIA NCHINI MAREKANI


Shirika la ufadhili la serikali ya Marekani limesitisha ufadhili wake kwa serikali ya Tanzania likilalamikia matukio kuhusu uchaguzi wa Zanzibar kwa kutokuwa wa wazi na haki pamoja na kushindwa kutekeleza Sheria ya Makosa ya Mtandao.

Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) imesema Tanzania haijatimiza viwango vinavyohitajika ili kunufaika na ufadhili kutoka kwa shirika hilo, na hivyo basi haitapokea ufadhili wa awamu ya pili ambao ulikuwa wa jumla ya Dola 472.8 milioni sawa na shilingi trilioni moja za Tanzania.

Taarifa ya Bodi imesema: “Serikali ya Tanzania haijachukua hatua za kuhakikisha kuheshimiwa kwa uhuru wa kujieleza na uhuru wa kujumuika katika utekelezwaji wa Sheria ya Uhalifu wa Mtandao.”

Aidha imeongeza kuwa Tanzania iliamua kuendelea na uchaguzi bila kuzingatia kuwa Upande wa Wapinzani wao CUF na kushindwa kuakisi malalamiko kutoka Serikali ya Marekani na jamii ya Kimataifa.”

  • Mabalozi wakosoa Uchaguzi wa Zanzibar

Dkt Ali Mohamed Shein alitangazwa kama mshindi kwenye Uchaguzi wa Marudio wa Zanzibar amabapo Chama cha Wananchi (CUF) walisusia Uchaguzi.

MCC imetoa msisitizo kwenye demokrasia na kushauri kuwa nchi lazima ijitolee kuhakikisha Uchaguzi nwa huru na Haki.

“Uchaguzi uliofanyika Zanzibar na kutekelezwa nwa Sheria ya Uhalifu wa Mitandao vinaenda kinyume na hili,” imesema.

Tanzania ilipokea Dola 698 milioni katika awamu ya kwanza


LINK CLASSIC: Asante sana kwa kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea website hii
Pia waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini

Whatsapp +255 652 989 873



PINTEREST  TWITTER    

LINKEDIN     DRIBBBLE

Karibu sana


LINK CLASSIC

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply