
Mwanamuziki Mwenye mafanikio makubwa katika mziki wa
Bongo flava ametuma salamu za pongezi kupitia ukurasa wake wa
Instagram kwa kuandika haya:
Mafanikio hujaga kwa juhudi na kuto kukata tamaa... Hongera
sana my brother @PaulMakonda kwa kuchaguliwa mkuu wa mkoa
wa Dar es salaam... nakutakika kila lenye kheri kwenye
kuhakikisha Dar es salaam yetu Inang'ara @PaulMakonda
LINK CLASSIC: Asante sana kwa
kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia
endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya
Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea
website hii
Pia
waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini
NOTJUSTOK
Karibu sana
LINK CLASSIC
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA


No comments: