Mbunge wa Jimbo la Bunda Chadema, Esther.OFISA Habari wa Chadema, Tumaini Makene leo amesema mbunge wa Jimbo la Bunda Chadema, Mhe. Esther Bulaya,amekamatwa na polisi saa saba usiku na kumpeleka kituo cha kati cha jijini Mwanza akiwa ameambatana na Mhe. Halima Mdee (Mb) , Joyce Sokombe (Mb) pamoja na Wakili John Malya sababu za kukamatwa hazijulikani.Hadi sasa anashikiliwa na polisi. Viongozi wa Chadema wanaelekea kituo cha polisi muda huu kujua hatma yake.
LINK CLASSIC: Asante sana kwa kutembelea Website hii coz ni moja
ya Support kwetu mungu akubariki sana pia endelea kusoma na kufungua LEBAL
zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya Website hii bila kusahau
kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea website hii
Pia waweza kuwasilina nasi
au kutufollow hapa chini
Karibu sana
LINK
CLASSIC
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: