sponsor

Slider

EMBROIDERY, DTF, & SCREEN PRINTING - T-shirt, Overall, Shirt , Pylon, Kofia Nk..


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » HAWA NDIO WASHINDI 15 WA TUZO ZA ‘MALKIA WA NGUVU’ (+PICHA)

MALKIA WA NGUVU-Winner-INSTA-All-04

Leo March 12 Clouds Media Group Wamefanya Sherehe ya kukabidhi Tuzo kwa Malkia wa nguvu,ambaye ni mwanamke aliyetumia fursa zinazomzunguka na kupiga hatua ikiwa ni pamoja kusaidia jamii.

Sherehe hizo za kuhitimisha kampeni hiyo zimefanyika kwenye Ukumbi wa LAPF Kijitonyama Jijini Dar es salaam ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Spika mstaafu wa Bunge la kumi Mh. Anna Makinda akisindikizwa na mkuu wa Wilaya ya kinondoni Paul Makonda.malikia (3)

Pia ziliambatana na wazungumzaji mbalimbali akiwemo Nikki wa Pili kutoka Weusi na Wengine wengi.malikia (2)

Pia Mkurugenzi wa vipindi na uzaishaji Clouds Media Ruge Mutahaba naye alikuwepo kuhakikisha anazielezea fursa hizo kwa kina zaidi.malikia (1)

Wafuatao ndio washindi 15 waliotwaa tuzo za #MALKIA WA NGUVU

MALKIA WA NGUVU-Winner-INSTA-All-01MALKIA WA NGUVU-Winner-INSTA-All-02MALKIA WA NGUVU-Winner-INSTA-All-03MALKIA WA NGUVU-Winner-INSTA-All-04MALKIA WA NGUVU-Winner-INSTA-All-05MALKIA WA NGUVU-Winner-INSTA-All-06MALKIA WA NGUVU-Winner-INSTA-All-07MALKIA WA NGUVU-Winner-INSTA-All-08MALKIA WA NGUVU-Winner-INSTA-All-09MALKIA WA NGUVU-Winner-INSTA-All-10MALKIA WA NGUVU-Winner-INSTA-All-11MALKIA WA NGUVU-Winner-INSTA-All-12MALKIA WA NGUVU-Winner-INSTA-All-13MALKIA WA NGUVU-Winner-INSTA-All-14MALKIA WA NGUVU-Winner-INSTA-All-15

LINK CLASSIC:  Asante sana kwa kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea website hii

pia waweza tupia namba yako ukawa unapata habari kupitia simu yako bureeeeeeee...ila simu iwe smartphone  

Pia waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini

Whatsapp / Call - 0652 989 873

INSTAGRAM   FACEBOOK    GOOGLE+    PINTEREST   TWITTER       

LINKEDIN     DRIBBBLE   YOUTUBE

Karibu sana



LINK CLASSIC

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply