Aliyewahi kuwa Mbunge wa Same Mashariki ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Mkoa mteule wa Shinyanga, Anna Kilango Malechela, amesema jitihada zake na utendaji katika kuihudumia jamii ndio sababu kuu iliyomfanya Rais Magufuli kumpa nafasi ya kuuongoza mkoa wa Shinyanga
Akizungumza kupitia Kipindi cha Sun Rise cha Times Fm, Malechela amedai hata ‘anguko’ lake katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana, aliangushwa na watu wenye sababu binafsi na si kukataliwa na Wananchi.
“Mungu ni mwema, sikuwa na hili wala lile, nimekaa Bungeni miaka 15 na Mh Rais akiwa kama Mbunge, kwahiyo alikuwa anaona utendaji wangu, kupambana na kero za wananchi na jinsi nilivyo na jitihada.
“Unajua wanaosema tuna bebwa tulianguka kwenye uchaguzi, watazame kwa utandi wengine tuliangushwa, naahidi kuzikabili na kauli mbiu ya kazi tu kuitumikia Shinyanga” Alisema Mama Anna Kilango.
LINK CLASSIC: Asante
sana kwa kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki
sana pia endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi
ndani ya Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako
kutembelea website hii
pia waweza tupia namba yako ukawa unapata habari kupitia simu yako
bureeeeeeee...ila simu iwe smartphone
Pia waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini
Whatsapp / Call - 0652 989 873
Karibu
sana
LINK CLASSIC
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA


No comments: