Mkiti CCM Mkoa wa Singida amepata Ajali ya gari lake binafsi akiwa na familia yake, Mke wake na watoto wawili wamepewa rufaa. Yeye bado na watoto wawili bado wako hospital ya Wilaya Kiomboi ambapo mtoto mmoja hawezi kusafirishwa hali yake sio nzuri, tumuombee Endelea Kufuatilia Link Classic itakupa habari kamili
KWA HABARI ZAIDI
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: