UNGANA NA
LINK CLASSIC
KILA SIKU KWA HABARI MPYA
Moshi. Mbunge wa Moshi Mjini, Jafary Michael (Chadema) amempongeza Rais John Magufuli kwa kuwaruhusu wafanyabiashara ndogondogo, wamachinga kuendelea kufanya biashara zao bila ya kubughudhiwa.
Akihutubia mkutano wa hadhara katika Manispaa ya Moshi jana, alisema hatua hiyo itasaidia kupunguza makundi mabaya ndani ya jamii.
Michael alisema siku zote amekuwa akiwapigania wafanyabiashara hao na kuwawekea mazingira rafiki kwa ajili ya biashara zao lakini walikuwa wakisumbuliwa, hivyo kauli ya Rais itawafanya wawe huru.
Asante sana kwa kutembelea Website hii Mungu akubariki sana
Karibuni sana
LINK CLASSIC
LIKE PAGE ZETU
"KWA HABARI ZAIDI"
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: