2. Hali ya kuchoshwa na mambo ya maisha na kukosa pumziko la moyo
3. Hali ya kuwa mwenye tabia ya kuhukumu au kuhukumiwa na wengine kwenye mambo fulani
4. Maumivu ya ndani na kushindwa kusamehe
5. Kuweka mawazo katika historia ya nyuma yenye maumivu
6. Lawama na malalamiko
7. Matatizo na misongo ya maisha ya kila siku (life stress)
8. Dhambi (hususani kama haijaungamwa au kutubiwa)
Jaribu kuvishuhulikia vitu hivi kama unakabiliana navyo kwenye maisha yako na utaona mpenyo mkubwa sana maishani mwako
LINK
CLASSIC: Asante sana kwa kutembelea Website hii coz
ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia endelea kusoma na kufungua
LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya Website hii bila kusahau
kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea website hii
Pia
waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini
Whatsapp
+255 652 989 873
Karibu
sana
LINK CLASSIC
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: