
YANATOKEA NA YANAWAGUSA WATU.
Huyu mwanamke mzuri katika picha ana ujauzito wa miezi minne,
lakini mumewe alifariki kwa ajali ya gari kabla mtoto hajazaliwa, na
huku akimwachia mtoto mwingine mdogo.
Siku ya kumbukumbu ya ndoa yake aliamua kupiga picha na
kuzitengeneza (photoshop) kuonekana kama bado yupo na
mumewe aliyekwishafariki.
Alifanya hivyo ili kukamilisha familia yake na kujipa faraja kama
zinavyoonekana hapo chini....Inasikitisha na inaumiza sana,
usiombee kufiwa na umpendae.
Mpende sana mpenzi wako uliye nae, rekebisheni tofauti zenu
hakuna ajuaye kesho, "life is too short to wake up with regrets."
Muda mwingine unaweza ukakubali ukweli kwamba Dunia haina
Usawa!
Kazi yake Mungu haina makosa.
R.I.P GENTLEMAN
ANGALIA PICHA ZAIDI HAPA CHINI



LINK CLASSIC: Asante sana kwa
kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia
endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya
Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea
website hii
Pia
waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini
+255
(0) 652989873 whatsapp
Karibu sana
LINK CLASSIC
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: