sponsor

Slider

EMBROIDERY, DTF, & SCREEN PRINTING - T-shirt, Overall, Shirt , Pylon, Kofia Nk..


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » NDIZI HUPUNGUZA MAUMIVU YA HEDHI.- DAWA-LISHE


Kuna matunda mengi yenye faida mwilini. Mojawapo ni ndizi mbivu ambazo wataalamu wa afya wanasema huweza kupunguza  tatizo la  wanawake kupata maumivu wakati wa hedhi.

Tovuti sayansi inayojihusisha na masuala ya tafiti za vyakula inaeleza kuwa iwapo mwanamke anapata hedhi na kupata maumivu ya tumbo, anaweza kupata nafuu iwapo atapendelea kula ndizi mbivu. 

Imeeleza kuwa ndizi mbivu zina vitamini B6 kwa wingi hurekebisha kiwango cha sukari na kupunguza madhara kwa mtumiaji, huku madini ya chuma, yanayopatikana kwa wingi yakizuia upungufu wa damu, kutokana na kufanya kazi ya kuzalisha chembechembe za damu mwilini.

Tunda hili pia hutibu na kupambana na tatizo la kupanda na kushuka kwa shinikizo la damu, kwa sababu lina kiwango kikubwa cha madini ya potasiamu huku likiwa na chumvi (sodium) ndogo.

Kituo cha kuangalia ubora wa vyakula nchini Marekani kijulikanacho kama Center for Food Safety and Applied Nutrition (CFSAN) kimelitaja tunda hilo kuwa ni bora katika kurekebisha shinikizo la damu, kuwasaidia kina mama kupunguza maumivu wakati wa hedhi na kupunguza uwezekano wa kupata maradhi ya kupooza.



LINK CLASSIC: Asante sana kwa kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea website hii
Pia waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini

+255 (0) 652989873 whatsapp



TWITTER    

LINKEDIN     DRIBBBLE

Karibu sana



LINK CLASSIC

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply