Kiu yao ni kuwa na mwanamke ambaye atakuwa mke anaye leta furaha nyumbani, anaye sikiliza, anaye weza kushauri na kushaurika, aliyeko tayari kuelekezwa na kufundishikasio kuwa mwalimu na mtoa orders kwenye kila kitu.
Anayeweza kuandaa mapishi mazuri yatakayo wafurahisha watoto na mume wake hata kama sio kila siku badala ya kuelekeza dada wa kazi kipikwe nini wakati yeye analinda kucha zake zisiharibike.
Kama ambavyo kuoa ni jukumu na kuolewa ni jukumu pia tela kubwa. Najua kujiteteakutakuwepo but ukweli unabaki kusimama pale pale.
LINK
CLASSIC: Asante sana kwa kutembelea Website hii coz
ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia endelea kusoma na kufungua
LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya Website hii bila kusahau
kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea website hii
Pia
waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini
Karibu
sana
LINK CLASSIC
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA


No comments: