
Wananchi wenye hasira Kali wamechoma moto nyumba na gari pamoja na kumpa kichapo kikali mama mwenye nyumba hiyo anaye fahamika kama MAMA MKASI kwa tuhuma za uchawi na kufuga watoto wezi kwenye nyumba yake.
Kabla ya kuchoma moto nyumba hiyo juzi walimkamata kijana wake mama huyo anaye fahamika kama MKASI ambae ni tapeli maarufu jijini mbeya anye daiwa kuwa kiongozi wa vibaka jiji zima na kumuonya juu ya tabia zake.
Hali ikawa mbaya zaidi leo majira ya saa 3 asubuhi walipochukua sheria mkononi ya kumvamia mama huyo na kisha kuchoma moto nyumba yake pamoja na Gari moja, Jeshi la Polisi na Zima moto walifika lilifika katika eneo la tukio.
LINK CLASSIC: Asante sana kwa kutembelea Website hii coz ni moja
ya Support kwetu mungu akubariki sana pia endelea kusoma na kufungua LEBAL
zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya Website hii bila kusahau
kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea website hii
Pia waweza kuwasilina nasi
au kutufollow hapa chini
Karibu sana
LINK
CLASSIC
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: