Mkuu wa majeshi ya Korea Kaskazini kanyongwa kwa tuhuma uhujumu/ufisadi kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Korea ya kusini. Mkuu huyo wa jeshi la Korea Kaskazini hajatajwa kwenye vyombo vya habari vya Korea tangu katikati mwa Januari.
Generali Ri Yong-gil inaripotiwa alinyongwa wiki iliyopita na tukio hilo linatokea wakati dunia ikiinyooshea kidole Korea ya Kaskazini juu ya urushwaji roketi ya masafa marefu Jumapili iliyopita.
Link Classic ni blog yako bora kabisa kwa Huduma za Graphics Design, Photoshoot, Online Shop, Tv Online, Stationery Services, ni Pamoja na habari za Matukio, Michezo, Burudani, Siasa Afya na mengine mengi.
No comments: